Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 3:27-29

Yohane 3:27-29 BHN

Yohane akawaambia, “Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Mungu. Nanyi wenyewe mwaweza kushuhudia kuwa nilisema: ‘Mimi siye Kristo, lakini nimetumwa ili nimtangulie!’ Bibi arusi ni wake bwana arusi, lakini rafiki yake bwana arusi, anayesimama na kusikiliza, hufurahi sana anapomsikia bwana arusi akisema. Ndivyo furaha yangu ilivyokamilishwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 3:27-29