Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 3:27-29

Yn 3:27-29 SUV

Yohana akajibu, akasema, Hawezi mtu kupokea neno lo lote isipokuwa amepewa kutoka mbinguni. Ninyi wenyewe mwanishuhudia ya kwamba nalisema, Mimi siye Kristo, bali nimetumwa mbele yake. Aliye naye bibi arusi ndiye bwana arusi; lakini rafiki yake bwana arusi, yeye anayesimama na kumsikia, aifurahia sana sauti yake bwana arusi.

Soma Yn 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 3:27-29