Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 18:37

Yohane 18:37 BHN

Hapo Pilato akamwambia, “Basi, wewe ni Mfalme?” Yesu akajibu, “Wewe umesema kwamba mimi ni Mfalme. Mimi nimezaliwa kwa ajili hiyo; na kwa ajili hiyo nimekuja ulimwenguni kuwaambia watu juu ya ukweli. Kila mtu wa ukweli hunisikiliza.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 18:37