Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 18:37

Yohana 18:37 NEN

Pilato akamuuliza, “Kwa hiyo wewe ni mfalme?” Yesu akajibu, “Wewe wasema kwamba mimi ni mfalme. Kwa kusudi hili nilizaliwa, na kwa ajili ya hili nilikuja ulimwenguni, ili niishuhudie kweli. Mtu yeyote aliye wa kweli husikia sauti yangu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 18:37