Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 16:23-24

Yohane 16:23-24 BHN

Siku hiyo hamtaniomba chochote. Kweli nawaambieni, chochote mtakachomwomba Baba kwa jina langu, atawapeni. Mpaka sasa hamjaomba chochote kwa jina langu. Ombeni nanyi mtapata ili furaha yenu ikamilike.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 16:23-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha