Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 16:23-24

Yohana 16:23-24 SRUV

Tena siku ile hamtaniuliza neno lolote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lolote atawapa kwa jina langu. Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu.

Soma Yohana 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 16:23-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha