Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 15:9-11

Yohane 15:9-11 BHN

Mimi nimewapenda nyinyi kama vile Baba alivyonipenda mimi. Kaeni katika pendo langu. Mkizishika amri zangu mtakaa katika pendo langu, kama vile nami nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake. Nimewaambieni mambo haya ili furaha yangu ikae ndani yenu, na furaha yenu ikamilike.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 15:9-11