Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 15:9-11

Yn 15:9-11 SUV

Kama vile Baba alivyonipenda mimi, nami nilivyowapenda ninyi, kaeni katika pendo langu. Mkizishika amri zangu, mtakaa katika pendo langu; kama vile mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake. Hayo nimewaambia, ili furaha yangu iwe ndani yenu, na furaha yenu itimizwe.

Soma Yn 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 15:9-11