Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 14:15-17

Yohane 14:15-17 BHN

“Mkinipenda mtazishika amri zangu. Nami nitamwomba Baba naye atawapeni Msaidizi mwingine, atakayekaa nanyi milele. Yeye ni Roho wa ukweli. Ulimwengu hauwezi kumpokea kwa sababu hauwezi kumwona wala kumjua. Lakini nyinyi mnamjua kwa sababu anabaki nanyi na yu ndani yenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 14:15-17