Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 14:15-17

Yohana 14:15-17 NEN

“Kama mnanipenda, mtazishika amri zangu. Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine akae nanyi milele. Huyo ndiye Roho wa kweli ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa sababu haumwoni wala haumjui. Ninyi mnamjua kwa kuwa yuko pamoja nanyi naye anakaa ndani yenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 14:15-17