Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 11:33-35

Yohane 11:33-35 BHN

Yesu alipomwona analia, na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye wanalia pia, alijawa na huzuni na kufadhaika moyoni. Kisha akawauliza, “Mlimweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo uone.” Yesu akalia machozi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 11:33-35