Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 11:33-35

Yohana 11:33-35 NEN

Yesu alipomwona Maria akilia na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye pia wakilia, Yesu alisikia uchungu moyoni, akafadhaika sana. Akauliza, “Mmemweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo upaone.” Yesu akalia machozi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 11:33-35