Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 11:25-27

Yohane 11:25-27 BHN

Yesu akamwambia, “Mimi ndimi ufufuo na uhai. Anayeniamini mimi hata kama anakufa, ataishi; na kila anayeishi na kuniamini, hatakufa kamwe. Je, waamini hayo?” Martha akamwambia, “Ndiyo Bwana! Mimi naamini kwamba wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu, yule ajaye ulimwenguni.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 11:25-27