Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 11:25-27

Yohana 11:25-27 SRUV

Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa, atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo? Akamwambia, Naam, Bwana, mimi nimesadiki ya kwamba wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu, yule ajaye ulimwenguni.

Soma Yohana 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 11:25-27