Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 1:4-5

Yohane 1:4-5 BHN

Yeye alikuwa chanzo cha uhai na uhai huo ulikuwa mwanga wa watu. Na mwanga huo huangaza gizani, nalo giza halikuweza kuushinda.