Yohane 1:4-5
Yohane 1:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye alikuwa chanzo cha uhai na uhai huo ulikuwa mwanga wa watu. Na mwanga huo huangaza gizani, nalo giza halikuweza kuushinda.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
Shirikisha
Soma Yohane 1Yohane 1:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
Shirikisha
Soma Yohane 1