Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 3:4-5

Yakobo 3:4-5 BHN

Meli nazo pia, ingawa ni kubwa sana, na husukumwa na upepo mkali, huweza kugeuzwa kwa usukani mdogo sana, zikaelekea kokote nahodha anakotaka. Vivyo hivyo, ulimi, ingawa ni kiungo kidogo cha mwili, hujisifia makuu sana. Moto mdogo waweza kuteketeza msitu mkubwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 3:4-5