Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yak 3:4-5

Yak 3:4-5 SUV

Tena angalieni merikebu; ingawa ni kubwa kama nini, na kuchukuliwa na pepo kali, zageuzwa na usukani mdogo sana, ko kote anakoazimia kwenda nahodha. Vivyo hivyo ulimi nao ni kiungo kidogo, nao hujivuna majivuno makuu. Angalieni jinsi moto mdogo uwashavyo msitu mkubwa sana.

Soma Yak 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yak 3:4-5