Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 3:14-15

Yakobo 3:14-15 BHN

Lakini ikiwa mioyo yenu imejaa wivu, chuki na ubinafsi, basi, msijisifu na kusema uongo dhidi ya ukweli. Hekima ya namna hiyo haitoki juu mbinguni; hekima hiyo ni ya ulimwengu, na ya kidunia, tena ni ya kishetani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 3:14-15