Yakobo 3:14-15
Yakobo 3:14-15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na ugomvi mioyoni mwenu, msijisifu, wala msiseme uongo juu ya kweli. Hekima hiyo siyo ile ishukayo kutoka juu, bali ni ya dunia, ya tabia ya kibinadamu, na Shetani.
Shirikisha
Soma Yakobo 3Yakobo 3:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini ikiwa mioyo yenu imejaa wivu, chuki na ubinafsi, basi, msijisifu na kusema uongo dhidi ya ukweli. Hekima ya namna hiyo haitoki juu mbinguni; hekima hiyo ni ya ulimwengu, na ya kidunia, tena ni ya kishetani.
Shirikisha
Soma Yakobo 3