Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 3:14-15

Yakobo 3:14-15 SRUV

Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na ugomvi mioyoni mwenu, msijisifu, wala msiseme uongo juu ya kweli. Hekima hiyo siyo ile ishukayo kutoka juu, bali ni ya kidunia, ya tabia ya kibinadamu, na ya kishetani.

Soma Yakobo 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 3:14-15