Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 2:10-13

Yakobo 2:10-13 BHN

Anayevunja amri mojawapo ya sheria, atakuwa na hatia ya kuivunja sheria yote. Maana yuleyule aliyesema: “Usizini,” alisema pia “Usiue.” Kwa hiyo, hata ikiwa hukuzini, lakini umeua, wewe umeivunja sheria. Basi, semeni na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria iletayo uhuru. Maana, Mungu hatakuwa na huruma atakapomhukumu mtu asiyekuwa na huruma. Lakini huruma hushinda hukumu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 2:10-13