Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yak 2:10-13

Yak 2:10-13 SUV

Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote. Kwa maana yeye aliyesema, Usizini, pia alisema, Usiue. Basi ijapokuwa hukuzini, lakini umeua, umekuwa mvunja sheria. Semeni ninyi, na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria ya uhuru. Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Huruma hujitukuza juu ya hukumu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yak 2:10-13