Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 53:7

Isaya 53:7 BHN

Alidhulumiwa na kuteswa, lakini alivumilia kwa unyenyekevu, bila kutoa sauti hata kidogo. Alikuwa kama mwanakondoo apelekwaye machinjoni, kama kondoo akaavyo kimya anapokatwa manyoya. Hakutoa sauti hata kidogo.

Soma Isaya 53

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 53:7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha