Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 53:7

Isa 53:7 SUV

Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake.

Soma Isa 53

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 53:7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha