Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 10:12-13

Hosea 10:12-13 BHN

Pandeni wema kwa faida yenu, nanyi mtavuna upendo; limeni mashamba yaliyoachwa, maana wakati wa kunitafuta mimi Bwana umefika nami nitawanyeshea baraka. Lakini nyinyi mmepanda uovu, nyinyi mmevuna dhuluma; mmekula matunda ya uongo wenu. Wewe Israeli ulitegemea nguvu zako mwenyewe, na wingi wa askari wako.

Soma Hosea 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 10:12-13