Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 10:12-13

Hosea 10:12-13 NEN

Jipandieni wenyewe haki, vuneni matunda ya upendo usio na kikomo, vunjeni ardhi yenu isiyolimwa; kwa kuwa ni wakati wa kumtafuta BWANA, mpaka atakapokuja na kuwanyeshea juu yenu haki. Lakini mmepanda uovu, mkavuna ubaya, mmekula tunda la udanganyifu. Kwa sababu mmetegemea nguvu zenu wenyewe na wingi wa mashujaa wenu

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 10:12-13