Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 4:14-16

Waebrania 4:14-16 BHN

Basi, tuzingatie kwa makini imani tunayoiungama. Maana tunaye Kuhani Mkuu aliyeingia mpaka mbinguni; Yesu, Mwana wa Mungu. Huyu Kuhani Mkuu wetu anaelewa kabisa unyonge wetu; yeye mwenyewe alijaribiwa kama sisi kwa kila namna lakini hakutenda dhambi. Basi, na tukikaribie bila hofu kiti cha enzi cha Mungu mwenye neema, tupokee huruma na neema ya kutusaidia wakati wa shida.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 4:14-16