Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 1:10-12

Waebrania 1:10-12 BHN

Na tena: “Bwana, wewe uliumba dunia hapo mwanzo, mbingu ni kazi ya mikono yako. Hizo zitatoweka, lakini wewe wabaki daima, zote zitachakaa kama vazi. Utazikunjakunja kama koti, nazo zitabadilishwa kama vazi. Lakini wewe ni yuleyule daima, na maisha yako hayatakoma.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 1:10-12