Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hagai 1:5-6

Hagai 1:5-6 BHN

Sasa, asema hivi Mwenyezi-Mungu: “Fikirini kama mnafanya sawa! Nyinyi mmepanda mbegu kwa wingi, lakini mmevuna kidogo; mnakula, lakini hamshibi; mnakunywa divai, lakini hamtosheki; mnavaa nguo, lakini bado mnasikia baridi; mfanyakazi mshahara wake huwa kama umetumbukizwa katika mfuko uliotoboka.”

Soma Hagai 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hagai 1:5-6