Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hag 1:5-6

Hag 1:5-6 SUV

Basi sasa, BWANA wa majeshi asema hivi, Zitafakarini njia zenu. Mmepanda mbegu nyingi mkavuna kidogo; mnakula lakini hamshibi; mnakunywa lakini hamkujazwa na vinywaji; mnajivika nguo lakini hapana aonaye moto; na yeye apataye mshahara apata mshahara ili kuutia katika mfuko uliotoboka-toboka.

Soma Hag 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hag 1:5-6