Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 8:11

Mwanzo 8:11 BHN

Njiwa huyo akamrudia Noa saa za jioni akiwa na tawi bichi la mzeituni mdomoni mwake. Kwa hiyo Noa akajua kwamba maji yalikuwa yamepungua katika nchi.

Soma Mwanzo 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 8:11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha