Mwanzo 8:11
Mwanzo 8:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Njiwa huyo akamrudia Noa saa za jioni akiwa na tawi bichi la mzeituni mdomoni mwake. Kwa hiyo Noa akajua kwamba maji yalikuwa yamepungua katika nchi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 8Mwanzo 8:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
njiwa akamjia jioni, na tazama, alikuwa na jani bichi la mzeituni kinywani mwake, ambalo amelichuma, basi Nuhu akajua ya kwamba maji yamepunguka juu ya nchi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 8