Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 7:11

Mwanzo 7:11 BHN

Noa alipokuwa na umri wa miaka 600, mnamo siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili, siku hiyo chemchemi zote za vilindi vya nchi zikabubujika maji, na madirisha ya mbinguni yakafunguka.

Soma Mwanzo 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 7:11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha