Mwanzo 7:11
Mwanzo 7:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Noa alipokuwa na umri wa miaka 600, mnamo siku ya kumi na saba ya mwezi wa pili, siku hiyo chemchemi zote za vilindi vya nchi zikabubujika maji, na madirisha ya mbinguni yakafunguka.
Shirikisha
Soma Mwanzo 7Mwanzo 7:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika mwaka wa mia sita wa maisha ya Nuhu, mwezi wa pili, siku ya kumi na saba ya mwezi, siku ile chemchemi zote za vilindi vikuu zilibubujika kwa nguvu, madirisha ya mbinguni yakafunguka.
Shirikisha
Soma Mwanzo 7