Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 49:8-9

Mwanzo 49:8-9 BHN

“Wewe Yuda, ndugu zako watakusifu. Adui zako utawakaba shingo; na ndugu zako watainama mbele yako. “Wewe Yuda, mwanangu, ni kama mwanasimba ambaye amepata mawindo yake akapanda juu. Kama simba hujinyosha na kulala chini; simba mwenye nguvu, nani athubutuye kumwamsha?

Soma Mwanzo 49

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 49:8-9