Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 49:8-9

Mwanzo 49:8-9 SRUV

Yuda, ndugu zako watakusifu, Mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako. Wana wa baba yako watakuinamia. Yuda ni mwanasimba, Kutoka katika mawindo, mwanangu, umepanda; Aliinama akajilaza kama simba, Na kama simba mke; ni nani atakayemwamsha?

Soma Mwanzo 49

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 49:8-9