Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 43:23

Mwanzo 43:23 BHN

Yule msimamizi akawajibu, “Msiwe na wasiwasi, wala msiogope. Bila shaka Mungu wenu, Mungu wa baba yenu, ndiye aliyewarudishieni fedha katika magunia yenu. Mimi nilipokea fedha yenu.” Kisha akawaletea Simeoni, ndugu yao.

Soma Mwanzo 43

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 43:23