Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 43:23

Mwa 43:23 SUV

Akawaambia, Amani iwe kwenu, msiogope; Mungu wenu, naye ni Mungu wa baba yenu, amewapa akiba katika magunia yenu; fedha zenu ziliniwasilia. Kisha akawatolea Simeoni.

Soma Mwa 43

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 43:23