Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 41:15-16

Mwanzo 41:15-16 BHN

Farao akamwambia Yosefu, “Mimi nimeota ndoto, lakini hakuna mtu aliyeweza kunitafsiria. Nimesikia sifa zako kwamba wewe ukiambiwa ndoto unaweza kuitafsiri.” Yosefu akamjibu Farao, “Sina uwezo huo; lakini Mungu atakupa jibu lifaalo.”

Soma Mwanzo 41

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 41:15-16