Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 41:15-16

Mwa 41:15-16 SUV

Farao akamwambia Yusufu, Nimeota ndoto, wala hakuna awezaye kunifasiria; nami nimesikia habari zako, ya kwamba, usikiapo ndoto, waweza kuifasiri. Yusufu akamjibu Farao, akisema, Si mimi; Mungu atampa Farao majibu ya amani.

Soma Mwa 41

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 41:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha