Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 26:24

Mwanzo 26:24 BHN

Usiku huohuo Mwenyezi-Mungu alimtokea na kumwambia, “Mimi ndimi Mungu wa baba yako Abrahamu. Usiogope kwa kuwa niko pamoja nawe; nitakubariki na kuwazidisha wazawa wako kwa ajili ya Abrahamu, mtumishi wangu.”

Soma Mwanzo 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 26:24