Mwanzo 26:24
Mwanzo 26:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiku huohuo Mwenyezi-Mungu alimtokea na kumwambia, “Mimi ndimi Mungu wa baba yako Abrahamu. Usiogope kwa kuwa niko pamoja nawe; nitakubariki na kuwazidisha wazawa wako kwa ajili ya Abrahamu, mtumishi wangu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 26Mwanzo 26:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamtokea usiku uleule, akasema, Mimi ni Mungu wa Abrahamu baba yako, usiogope, maana mimi ni pamoja nawe, nami nitakubariki, na kuzidisha uzao wako kwa ajili ya Abrahamu mtumishi wangu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 26