Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 2:15-17

Mwanzo 2:15-17 BHN

Basi, Mwenyezi-Mungu akamtwaa huyo mwanamume, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. Mwenyezi-Mungu alimwamuru huyo mwanamume, “Waweza kula matunda ya mti wowote katika bustani; lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”

Soma Mwanzo 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 2:15-17