Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 2:15-17

Mwa 2:15-17 SUV

BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. BWANA Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula, walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 2:15-17