Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 2:15-17

Mwanzo 2:15-17 NEN

BWANA Mungu akamchukua huyo mtu, akamweka kwenye Bustani ya Edeni ailime na kuitunza. BWANA Mungu akamwagiza huyo mtu, akamwambia, “Uko huru kula matunda ya mti wowote katika bustani, lakini kamwe usile matunda ya mti wa kujua mema na mabaya, kwa maana siku utakapokula matunda yake, hakika utakufa.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 2:15-17