Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 11:4-7

Mwanzo 11:4-7 BHN

Wakasema, “Na tujijengee mji na mnara ambao kilele chake kitafika mbinguni ili tujipatie jina, tusije tukatawanyika duniani kote.” Ndipo Mwenyezi-Mungu akashuka chini kuuona mji huo na mnara walioujenga binadamu. Mwenyezi-Mungu akasema, “Tazama, watu hawa ni taifa moja na wote wana lugha moja; huu ni mwanzo tu wa yale watakayoyafanya. Lolote wanalokusudia kulifanya watafanikiwa. Haya, na tushuke chini na kuivuruga lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”

Soma Mwanzo 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 11:4-7