Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 11:4-7

Mwanzo 11:4-7 NEN

Ndipo wakasema, “Njooni, tujijengee mji wenye mnara ambao utafika hadi mbinguni, ili tujipatie jina tusije tukatawanyika usoni pa dunia yote.” Lakini BWANA akashuka ili auone mji na mnara ambao wanadamu waliokuwa wanaujenga. BWANA akasema, “Ikiwa kama taifa moja wanaozungumza lugha moja wameanza kufanya hili, basi hakuna lolote watakalopanga kufanya ambalo halitawezekana kwao. Njooni, tushuke tuvuruge lugha yao ili wasielewane wao kwa wao.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 11:4-7