Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wagalatia 6:1-2

Wagalatia 6:1-2 BHN

Ndugu, kama mkimwona mtu fulani amekosea, basi, nyinyi mnaoongozwa na Roho mwonyeni mtu huyo ajirekebishe; lakini fanyeni hivyo kwa upole, mkiwa na tahadhari msije nanyi wenyewe mkajaribiwa. Saidianeni kubeba mizigo yenu na hivyo mtatimiza sheria ya Kristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wagalatia 6:1-2