Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 32:7-8

Kutoka 32:7-8 BHN

Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Teremka chini kwa maana watu wako uliowaleta kutoka nchini Misri wamejipotosha wenyewe; wameiacha mara moja njia niliyowaamuru, wakajifanyia ndama wa kusubu, nao wamemwabudu na kumtolea tambiko wakisema, ‘Ee Israeli, huyu ndiye mungu wetu aliyetutoa nchini Misri!’

Soma Kutoka 32

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 32:7-8